-
Haradali—Habari Moto-motoAmkeni!—1996 | Agosti 8
-
-
Kwa kushangaza, “punje ya haradali” nyeusi yenyewe ni ndogo mno. Katika siku ya Yesu ilikuwa mbegu ndogo mno kuliko zote zilizopandwa sana katika Israeli. (Marko 4:31) Ina kipenyo cha karibu milimeta moja, ikihakikisha utumizi wayo ikiwa kipimo kidogo kuliko vyote katika Talmud.—Berakhot 31a.
-
-
Haradali—Habari Moto-motoAmkeni!—1996 | Agosti 8
-
-
Kristo pia alitumia kielezi chenye kuchochea ili kukazia jinsi ambavyo hata kiwango kidogo mno cha imani kiwezavyo kutimiza mengi, akitaarifu: “Amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali, . . . halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.”—Mathayo 17:20; Luka 17:6.
-