Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Muwe na Upendo Kati Yenu Wenyewe’
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Machi 1
    • “Ninawapa ninyi amri mpya, kwamba mpendane; kama vile ambavyo nimewapenda ninyi, ninyi nanyi mpendane vivyo hivyo.

  • ‘Muwe na Upendo Kati Yenu Wenyewe’
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Machi 1
    • Kwa jambo hili wote watajua kwamba ninyi ni wanafunzi wangu, mkiwa na upendo kati yenu wenyewe.”—YOHANA 13:34, 35.

  • ‘Muwe na Upendo Kati Yenu Wenyewe’
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Machi 1
    • Inamaanisha Nini? Kristo aliwaambia wafuasi wake wapendane jinsi alivyowapenda. Yesu aliwapenda jinsi gani? Aliwapenda watu ijapokuwa siku hizo ubaguzi wa kitaifa na kijinsia ulikuwa umeenea sana. (Yohana 4:7-10) Upendo ulimchochea Yesu kudhabihu wakati, nguvu, na pindi zake za kustarehe ili kusaidia wengine. (Marko 6:30-34) Mwishowe, Kristo alionyesha upendo kwa njia iliyo kubwa zaidi. Alisema: “Mimi ndiye mchungaji mwema; mchungaji mwema huitoa nafsi yake kwa ajili ya kondoo.”—Yohana 10:11.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki