Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Wafu Watafufuliwa”
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
    • Kulikuwa na mashahidi wengi waliojionea kwa macho waliothibitisha kwamba “Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu” na kwamba alikuwa amefufuliwa. Mmoja wao alikuwa Kefa, au Petro, jina linalojulikana zaidi. Baada ya Petro kumkataa Yesu usiku wa kusalitiwa na kukamatwa kwa Yesu, lazima awe alifarijiwa sana kumwona Yesu. Pia Yesu aliyekuwa amefufuliwa aliwatembelea “wale kumi na wawili,” yaani wale mitume wakiwa kikundi—jambo lililoonwa ambalo bila shaka liliwasaidia kushinda hofu yao na kuwa mashahidi wajasiri wa ufufuo wa Yesu.—Yohana 20:19-23; Matendo 2:32.

  • “Wafu Watafufuliwa”
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
    • na kwamba alionekana kwa Kefa, kisha kwa wale kumi na wawili.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki