-
Je, Kuungama Dhambi Ni Takwa la Mungu?Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 1
-
-
Tukirejelea tena kitabu cha Yakobo, tunapata maneno haya yenye kutia moyo: “Je, kuna yeyote mgonjwa [kiroho] kati yenu? Na awaite kwake wanaume wazee wa kutaniko, nao wasali juu yake, wakimpaka mafuta katika jina la Yehova.
-
-
Je, Kuungama Dhambi Ni Takwa la Mungu?Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 1
-
-
Kwanza, Yakobo anataja ‘kupaka mafuta.’ Hilo linarejelea nguvu za kuponya za Neno la Mungu. Mtume Paulo alisema kwamba “neno la Mungu liko hai nalo lina nguvu . . . nalo linaweza kutambua fikira na makusudio ya moyo,” kwa kuwa linapenya ndani kabisa katika akili na moyo wa mtu. (Waebrania 4:12) Kwa kutumia Biblia kwa ustadi, wanaume wazee wanaweza kumsaidia mtu aliye mgonjwa kiroho aone chanzo cha tatizo lake na kuchukua hatua zinazofaa kurekebisha mambo mbele za Mungu.
-