-
‘Yule Mtumwa Mwaminifu’ Apita Mtihani wa Ukaguzi!Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 1
-
-
Katika mwaka wa 1914—bila shaka muda mrefu baada ya 33 W.K.—kuwapo kwa Kristo Yesu akiwa mfalme kulianza. Mnamo mwaka wa 1918, miaka mitatu na nusu baadaye, alikuja kwenye hekalu la Mungu la kiroho na kutimiza maneno haya ya Petro: “Ni wakati uliowekwa wa hukumu kuanza na nyumba ya Mungu.” (1 Petro 4:17; Malaki 3:1) Ulikuwa wakati wa kufanya hesabu.
-
-
‘Yule Mtumwa Mwaminifu’ Apita Mtihani wa Ukaguzi!Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 1
-
-
Katika mwaka wa 1918 ‘alikuja’ akiwa mjumbe wa agano na kuanza kuwahukumu wale waliodai kumtumikia Yehova. (Malaki 3:1-3; 1 Petro 4:17)
-