-
Mungu Si wa Polepole kwa Habari ya Ahadi YakeMnara wa Mlinzi—1999 | Juni 1
-
-
Baada ya kueleza sababu inayofanya Mungu aonekane kuwa wa polepole, Petro atoa onyo hili: “Siku ya Yehova itakuja kama mwizi.” Yaani, siku ya kutoa hesabu itakuja hasa wakati ambapo watu hawaitarajii.
-