-
Neno la Mungu Hudumu MileleMnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 1
-
-
(3) Karne ya nne W.K., katika maandiko ya Kilatini, mtetea-Utatu mwenye bidii kupita kiasi kwa wazi aliongeza maneno “mbinguni, Baba, Neno, na roho mtakatifu; na watatu hawa ni mmoja” kana kwamba hayo yalikuwa nukuu kutoka 1 Yohana 5:7. Baadaye fungu hilo lilitiwa ndani katika maandishi ya hati ya Biblia ya Kilatini.
-
-
Neno la Mungu Hudumu MileleMnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 1
-
-
Kwa habari ya maandishi ya ziada kwenye 1 Yohana 5:7 ili kutegemeza Utatu na kwenye Matendo 13:2 ili kuthibitisha uhalali wa Misa, hayo hayakubadili lililo kweli. Na punde si punde udanganyifu huo mbalimbali ulifichuliwa kabisa.
-