-
Kupambana na Hayawani Wawili Wakali SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na wale wote wanaokaa juu ya dunia wataabudu yeye; hakuna jina la hata mmoja wao limesimama likiwa limeandikwa katika hati-kunjo ya uhai ya Mwana-Kondoo ambaye alichinjwa, kutoka kuasisiwa kwa ulimwengu.”—Ufunuo 13:5-8, NW.
-
-
Kupambana na Hayawani Wawili Wakali SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Hivyo, kufikia mwishoni mwa 1914 kuendelea mpaka ndani ya 1918, wakati mataifa yenye kupigana yalipokuwa yakiraruana kihalisi kama hayawani-mwitu, wananchi wa mataifa hayo walibanwa wamwabudu hayawani-mwitu, washiriki dini ya utukuzo wa taifa, hata kuwa tayari kufia nchi yao.
-
-
Kupambana na Hayawani Wawili Wakali SanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Akiwa na mamlaka “juu ya kila kabila na kikundi cha watu na ulimi na taifa,” hayawani-mwitu alizuia sana kazi ya Mungu ulimwenguni pote.
23. (a) Ni nini iliyo “hati-kunjo ya uhai ya Mwana-Kondoo”? (b) Ni kwa nini ushindi wowote kwa ajili ya tengenezo lionekanalo la Shetani juu ya “watakatifu” ulikuwa wa bure tu?
23 Huu ulionekana kuwa ushindi kwa Shetani na tengenezo lake. Lakini haungeweza kuwaletea manufaa za muda mrefu, kwa kuwa hakuna mmoja aliye katika tengenezo lionekanalo la Shetani aliyekuwa ameandikisha jina lake katika “hati-kunjo ya uhai ya Mwana-Kondoo.” Kitamathali, hati-kunjo hii ina majina ya wale ambao watatawala na Yesu katika Ufalme wake wa kimbingu. Majina ya kwanza yaliandikwa ndani yayo kwenye Pentekoste 33 W.K. Na katika miaka iliyofuata tangu hapo, majina zaidi na zaidi yameongezwa. Tangu 1918, kutiwa muhuri kwa wabakio wa warithi wa Ufalme 144,000 kumekuwa kukiendelea hadi utimilifu. Karibuni, majina yao wote yataandikwa bila kufutika katika hati-kunjo ya uhai ya Mwana-Kondoo. Kwa habari ya wapinzani ambao huabudu hayawani-mwitu, hakuna mmoja wa hao atakayekuwa na jina lake likiwa limeandikwa katika hati-kunjo hiyo. Kwa hiyo wowote unaoonekana kuwa kama ushindi ambao huenda hawa wakawa nao juu ya “watakatifu” ni wa bure, wa kitambo tu.
-