-
Siku ya Hukumu Ni Nini?Biblia Inafundisha Nini Hasa?
-
-
“Nikaona kiti cha ufalme kikubwa cheupe na yeye aliyeketi juu yake. Dunia na mbingu zikakimbia kutoka mbele zake, na mahali popote hapakupatikana kwa ajili ya hizo.
-
-
Siku ya Hukumu Ni Nini?Biblia Inafundisha Nini Hasa?
-
-
Hukumu hiyo itatekelezwa na nani?
Yehova Mungu ndiye Hakimu au Mwamuzi mkuu wa wanadamu. Hata hivyo, ana mwakilishi wa kufanya hukumu. Kulingana na Matendo 17:31, mtume Paulo alisema kwamba Mungu “ameweka siku ambayo katika hiyo anakusudia kuihukumu kwa uadilifu dunia inayokaliwa kupitia kwa mwanamume ambaye amemweka rasmi.” Hakimu huyo aliyewekwa rasmi ni Yesu Kristo aliyefufuliwa. (Yohana 5:22)
-