-
Siku ya Hukumu ya Mungu—Matokeo Yayo Yenye Shangwe!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na kifo na Hadesi vilivurumishwa ndani ya ziwa la moto. Hii humaanisha kifo cha pili, ziwa la moto.
-
-
Siku ya Hukumu ya Mungu—Matokeo Yayo Yenye Shangwe!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Kufikia mwisho wa Siku ya Hukumu ya mileani, “kifo na Hadesi” vinaondolewa kabisa. Ni kwa nini hili lahusisha miaka elfu moja? Hadesi, ambalo ni kaburi la ujumla la aina ya binadamu, inaachwa ikiwa tupu wakati mtu wa mwisho aliye katika kumbukumbu la Mungu anapofufuliwa. Lakini maadamu binadamu wowote wanatiwa waa na dhambi iliyorithiwa, kifo cha Adamu kingali kipo pamoja nao. Wale wote wanaofufuliwa duniani, pamoja na umati mkubwa unaookoka Har–Magedoni, watahitaji kutii yaliyoandikwa katika hati-kunjo mpaka ubora wa dhabihu ya Yesu uwe umetumiwa kikamili ukiondoa magonjwa, uzee, na udhaifu mwingine uliorithiwa. Ndipo kifo cha Adamu, pamoja na Hadesi, ‘vinapovurumishwa ndani ya ziwa la moto.’ Vitakuwa vimeenda milele!
-