-
Wakaraite na Utafutaji Wao wa KweliMnara wa Mlinzi—1995 | Julai 15
-
-
Kulingana na fasiri yao ya Kumbukumbu la Torati 6:8, 9, marabi walishikilia kwamba wanaume Wayahudi walipaswa kusali wakivalia tefillin, au filakteri, na kwamba mezuzah ilipaswa iwekwe kwa kila mwimo.b Wakaraite waliona mistari hii kuwa na maana ya kitamathali na ufananisho tu hivyo wakakataa amri kama hizo za kirabi.
-
-
Wakaraite na Utafutaji Wao wa KweliMnara wa Mlinzi—1995 | Julai 15
-
-
b Tefillin ni visanduku vidogo viwili vya ngozi vilivyo na vikaratasi vyenye mistari ya Maandiko. Visanduku hivi vilivaliwa kidesturi kwenye mkono wa kushoto na kichwani wakati wa sala za siku ya juma. Mezuzah ni kunjo dogo lililoandikwa Kumbukumbu la Torati 6:4-9 na 11:13-21, iliyowekwa ndani ya kisanduku na kutiwa kwenye mwimo.
-