-
Yehova Atujua Vema!Mnara wa Mlinzi—1990 | Januari 15
-
-
Kufichika hakuzuii mtazamo makini wa Muumba wetu. Katika habari hii Daudi alisema hivi: “Kwa maana wewe mwenyewe ulitokeza figo zangu; wewe uliniweka mimi nikiwa nimewekwa mbali katika kisetiri katika tumbo la mama yangu. Mimi nitakuhimidi wewe kwa sababu nimefanyizwa kwa njia ya ajabu yenye kuvuvia hofu. Kazi zako ni za ajabu, kama vile nafsi yangu yajua vema sana. Wewe hukufichwa mifupa yangu wakati mimi nilipofanyizwa katika siri, wakati mimi nilipofumwa katika sehemu za chini kabisa za dunia. Macho yako yaliona hata kiinitete cha mimi, na katika kitabu chako sehemu zacho chote zilikuwa zimeandikwa, kwa habari ya siku ambazo hizo [sehemu za mwili] ziliumbika na kulikuwa hakujawa na hata moja [sehemu ya mwili yenye kupambanuliwa na nyinginezo].”—Zaburi 139:13-16, NW.

Kabla sehemu za mwili wa Daudi hazijapambanuka moja kutoka kwa nyingine katika mji wa mimba wa mama yake, sura yake ilijulikana kwa Mungu. Kwa nini? Kwa sababu usitawi wa kiinitete ulifuata kielelezo fulani hususa, kana kwamba ukitii maagizo yaliyoandikwa katika kitabu fulani. Lo, jinsi hiyo yaonyesha hekima na uwezo wa Yehova kuona hata mambo yaliyofichika! Hiyo yapasa pia kutufanya sisi tuthamini kwamba Mungu ndiye aliyeumba jamii ya kibinadamu na ndiye mwenye daraka la kufanyiza ule utaratibu wa kuzaana ambao umetutokeza sisi mmoja mmoja.
-