Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Uzishike Amri Zangu Ukaishi”
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
    • Kwa nini tushikamane sana na mafundisho ya Kimaandiko na kupenda hekima na uelewevu? Ili ‘tujilinde wenyewe na malaya, na mgeni atubembelezaye kwa maneno yake.’ (Mithali 7:5) Naam, kufanya hivyo kutatulinda na njia zenye udanganyi na ushawishi za mgeni—mtu asiye na maadili.a

  • “Uzishike Amri Zangu Ukaishi”
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Novemba 15
    • a Neno “mgeni” lilitumika kwa watu waliojitenga na Yehova kwa kutoshika Sheria. Hivyo, mwanamke asiye na maadili, kama vile kahaba, anaitwa “mgeni.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki