Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maneno ya Hekima kwa Moyo na Afya
    Amkeni!—2011 | Agosti
    • “Moyo mtulivu ni uzima wa mwili wenye nyama.”—METHALI 14:30.

  • Maneno ya Hekima kwa Moyo na Afya
    Amkeni!—2011 | Agosti
    • Likilinganisha watu watulivu na watu wenye hasira, jarida Journal of the American College of Cardiology lilisema hivi: “Uchunguzi wa hivi karibuni unaonyesha kwamba kuna uhusiano kati ya hasira na uhasama na [magonjwa ya moyo].” Kwa hiyo, jarida hilo lilisema: “Huenda kuzuia na kutibu [magonjwa ya moyo] kukahusisha . . . matibabu ya kawaida ya mwili na dawa, na pia kumsaidia mgonjwa ajifunze kuzuia hasira na uhasama.” Kwa ufupi, moyo mtulivu humfanya mtu awe na afya nzuri kama Biblia inavyosema.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki