-
Je, Wajua?Mnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
-
-
▪ Muda mfupi kabla ya kifo chake, Yesu alishughulikia ukosefu mkubwa wa haki uliokuwa ukiendelea ndani ya hekalu. Biblia inasema hivi: ‘Yesu aliwafukuza wale wote waliokuwa wakiuza na kununua katika hekalu, na kuzipindua meza za wale waliokuwa wakibadili pesa na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa. Naye akawaambia: “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mnaifanya kuwa pango la wanyang’anyi.”’—Mathayo 21:12, 13.
-
-
Je, Wajua?Mnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
-
-
Kwa kuwa Yesu alisema watu waliokuwa wakibadili pesa walifanya hekalu kuwa “pango la wanyang’anyi,” inaonekana walitoza malipo ya juu kupita kiasi.
-