-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—2014 | Novemba 15
-
-
Baada ya kuhubiri wakiwa wamevikwa nguo za magunia, watiwa-mafuta hao waliuawa kwa njia ya mfano walipofungwa gerezani kwa muda mfupi, yaani, kwa siku tatu na nusu za mfano. Maadui wa watu wa Mungu walishangilia sana kwa sababu waliona kwamba kazi yao ilikuwa imekomeshwa au kuuawa kwa njia ya mfano.—Ufu. 11:8-10.
-