B9
Serikali Kuu za Ulimwengu Zilizotabiriwa na Danieli
Makala Iliyochapishwa
Babiloni 607 K.W.K. Mfalme Nebukadneza aharibu Yerusalemu |
Umedi na Uajemi 539 K.W.K. Yashinda Babiloni 537 K.W.K. Koreshi aagiza Wayahudi warudi Yerusalemu |
Ugiriki 331 K.W.K. Aleksanda Mkuu ashinda Uajemi |
Roma 63 K.W.K. Yatawala Israeli 70 W.K. Yaharibu Yerusalemu |
Uingereza na Marekani 1914-1918 W.K. Vita vya Kwanza vya Ulimwengu, Muungano wa Uingereza na Marekani watokea |