SANDUKU LA KUFUNDISHIA LA 8B
Unabii Kumhusu Masihi
1. “Yule Aliye na Haki ya Kisheria” (Ezekieli 21:25-27)
NYAKATI ZA MATAIFA (607 K.W.K.–1914 W.K.)
607 K.W.K.—Sedekia ang’olewa mamlakani
1914 W.K.—Yesu, yule aliye na “haki ya kisheria” ya kupokea Ufalme wa Kimasihi, awekwa kuwa Mfalme, na kuwa Mtawala na Mchungaji
2. “Mtumishi Wangu . . . Atawalisha na Kuwa Mchungaji Wao” (Ezekieli 34:22-24)
SIKU ZA MWISHO (1914 W.K.–BAADA YA HAR-MAGEDONI)
1914 W.K.—Yesu, yule aliye na “haki ya kisheria” ya kupokea Ufalme wa Kimasihi, awekwa kuwa Mfalme, na kuwa Mtawala na Mchungaji
1919 W.K.—Mtumwa mwaminifu na mwenye busara awekwa rasmi ili kuchunga kondoo wa Mungu
Watiwa mafuta waaminifu waunganishwa chini ya Mfalme wa Kimasihi; baadaye wanaunganishwa na umati mkubwa
BAADA YA HAR-MAGEDONI—Baraka za utawala wa Mfalme zitadumu milele
3. “Mfalme Mmoja Atawatawala Wote” Milele