B5
Tabenakulo na Kuhani Mukubwa
Sehemu za Tabenakulo
1 Sanduku (Kut 25:10-22; 26:33)
2 Pazia (Kut 26:31-33)
3 Nguzo ya Pazia (Kut 26:31, 32)
4 Patakatifu (Kut 26:33)
5 Patakatifu Zaidi (Kut 26:33)
6 Kitambaa cha Kuficha (Kut 26:36)
7 Nguzo kwa Ajili ya Kitambaa cha Kuficha (Kut 26:37)
8 Kikalio cha Shaba (Kut 26:37)
9 Mazabahu ya Uvumba (Kut 30:1-6)
10 Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kut 25:23-30; 26:35)
11 Kinara cha Taa (Kut 25:31-40; 26:35)
12 Kitambaa cha Hema cha Kitani (Kut 26:1-6)
13 Kitambaa cha Hema cha Manyoya ya Mbuzi (Kut 26:7-13)
14 Kifuniko cha Ngozi za Kondoo-dume (Kut 26:14)
15 Kifuniko cha Ngozi za Sili (Kut 26:14)
16 Kadre ya Mbao (Kut 26:15-18, 29)
17 Kikalio cha Feza Chini ya Kadre ya Mbao (Kut 26:19-21)
18 Ufito (Barre) (Kut 26:26-29)
19 Kikalio cha Feza (Kut 26:32)
20 Beseni ya Shaba (Kut 30:18-21)
21 Mazabahu ya Toleo la Kuteketezwa (Kut 27:1-8)
22 Kiwanja (Kut 27:17, 18)
23 Muingilio (Kut 27:16)
24 Mapazia Yenye Kuninginia ya Kitani (Kut 27:9-15)
Kuhani Mukubwa
Kutoka sura ya 28 inaeleza kwa urefu kuhusu nguo za kuhani mukubwa wa Israeli
Kilemba (Kut 28:39)
Alama Takatifu ya Kujitoa kwa Mungu (Kut 28:36; 29:6)
Jiwe la Shoshamu (Kut 28:9)
Munyororo (Kut 28:14)
Kifuko cha Kifua cha Hukumu Chenye Majiwe 12 Yenye Samani (Kut 28:15-21)
Koti ya Bluu Yenye Haina Mikono (Kut 28:31)
Upindo wa Chini wa Kengele na Matunda ya Makomamanga (Kut 28:33-35)
Kanzu ya Kitani Kizuri Yenye Miraba-miraba (Kut 28:39)