-
Yesu Alitoka Wapi?Munara wa Mulinzi—2011 | Mwezi wa 4 1
-
-
Biblia ilikuwa imetabiri karne kadhaa mapema kuhusu mahali ambapo Yesu angezaliwa, ikisema: “Nawe, Ee Bethlehemu Efratha, wewe uliye mdogo sana kuwa kati ya maelfu ya Yuda, kutoka kwako atanijia yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli.”b (Mika 5:2) Yaelekea Bethlehemu ulikuwa mji mdogo sana hivi kwamba haungewekwa kwenye orodha ya majiji ya Yuda. Hata hivyo, mji huo mdogo ungekuja kupata heshima ya pekee. Masihi aliyeahidiwa, au Kristo, angezaliwa Bethlehemu.—Mathayo 2:3-6; Yohana 7:40-42.
-
-
Yesu Alitoka Wapi?Munara wa Mulinzi—2011 | Mwezi wa 4 1
-
-
b Efratha (au Efrathi) ni jina la awali la Bethlehemu.—Mwanzo 35:19.
-