-
Kutoka 37:25, 26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Kisha akatumia mbao za mshita kujenga madhabahu ya kufukizia uvumba.+ Ilikuwa ya mraba, yenye urefu wa mkono mmoja, upana wa mkono mmoja, na kimo cha mikono miwili. Pembe zake zilikuwa sehemu ya hiyo madhabahu.+ 26 Aliifunika kwa dhahabu safi sehemu yake ya juu, pande zote kuizunguka na pia pembe zake, na kutengeneza ukingo wa dhahabu kuizunguka.
-