Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Novemba uku. 3
  • Novemba 12-18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 12-18
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Novemba uku. 3

Novemba 12-18

MATENDO 1-3

  • Wimbo 104 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Roho Takatifu Yamiminwa Juu ya Kutaniko la Kikristo”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video ya Utangulizi wa Matendo.]

    • Mdo 2:1-8, 14, 37, 38, 41—Baada ya kupokea roho takatifu, wanafunzi wa Yesu walitoa ushahidi ambao ulifanya watu 3,000 hivi wabatizwe

    • Mdo 2:42-47—Wanafunzi wa Yesu walionyesha ukarimu mkubwa sana uliowaruhusu wageni waliobatizwa ambao walikuwa wametembelea Yerusalemu kubaki hapo kwa muda na kuimarisha imani yao (w86 12/1 29 ¶4-5, 7)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mdo 3:15—Kwa nini Yesu anaitwa “Wakili Mkuu wa uzima”? (it-2 61 ¶1)

    • Mdo 3:19—Mstari huu unafafanuaje jinsi Yehova anavyosamehe watenda-dhambi wanaotubu? (cl 265 ¶14)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 2:1-21

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) it-1 129 ¶2-3—Kichwa: Kwa Nini Mtu Alihitaji Kuchukua Mahali pa Yuda Lakini Si pa Mitume Wengine Waliokufa Wakiwa Waaminifu?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 85

  • “Kushirikiana Kuhubiri Katika Eneo Lenye Lugha Mbalimbali”: (Dak. 15) Mazungumzo, itolewe na mwangalizi wa utumishi. Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu. Taja mipango ya kutaniko lenu kuhusu kuhubiri eneo lenye lugha nyingi.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 43 ¶1-7

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 68 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki