Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Novemba uku. 3
  • Roho Takatifu Yamiminwa Juu ya Kutaniko la Kikristo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Roho Takatifu Yamiminwa Juu ya Kutaniko la Kikristo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Kutaniko
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • “Wakajazwa Roho Takatifu”
    “Kutoa Ushahidi Kamili” Kuhusu Ufalme wa Mungu
  • Ashtakiwa Kuwa Msumbufu na Kuchochea Uasi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Paulo Akata Rufaa kwa Kaisari Kisha Amtolea Ushahidi Mfalme Herode Agripa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Novemba uku. 3

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATENDO 1-3

Roho Takatifu Yamiminwa Juu ya Kutaniko la Kikristo

Umati wa watu wa mataifa mbalimbali wakiwa Yerusalemu wakati wa Pentekoste ya mwaka wa 33 W.K.

2:1-8, 14, 37, 38, 41-47

Wayahudi wengi waliokuwa Yerusalemu katika Pentekoste 33 W.K. walitoka kwenye nchi nyingine. (Mdo 2:9-11) Ingawa walitii Sheria ya Musa, huenda walikuwa wameishi katika nchi ya kigeni maisha yao yote. (Yer 44:1) Hivyo, ingawa walikuwa Wayahudi huenda baadhi yao walionekana na kuongea kama watu wa mataifa waliyotoka. Watu 3,000 kati ya umati huo uliotoka mataifa mbalimbali walipobatizwa, ghafula kutaniko la Kikristo likawa na watu kutoka maeneo mengi tofauti-tofauti. Lakini licha ya malezi yao mbalimbali, “walihudhuria daima kwenye hekalu kwa kusudi moja.”—Mdo 2:46.

Unaweza kuonyeshaje kwamba unapendezwa kibinafsi na . . .

  • watu katika eneo lenu wanaotoka nchi nyingine?

  • ndugu na dada katika kutaniko lenu wanaotoka nchi nyingine?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki