1
2
Mungu apumzika siku ya saba (1-3)
Yehova Mungu, Muumbaji wa mbingu na dunia (4)
Mwanamume na mwanamke katika bustani ya Edeni (5-25)
Mtu aumbwa kutokana na mavumbi (7)
Mti uliokatazwa wa ujuzi (15-17)
Kuumbwa kwa mwanamke (18-25)
3
4
5
6
Wana wa Mungu wajichukulia wake duniani (1-3)
Wanefili wazaliwa (4)
Uovu wa wanadamu wamhuzunisha Yehova (5-8)
Noa aagizwa ajenge safina (9-16)
Mungu atangaza kuja kwa Gharika (17-22)
7
8
Maji ya Gharika yapungua (1-14)
Kutoka ndani ya safina (15-19)
Ahadi ya Mungu kuhusu dunia (20-22)
9
10
Orodha ya mataifa (1-32)
Wazao wa Yafethi (2-5)
Wazao wa Hamu (6-20)
Wazao wa Shemu (21-31)
11
12
13
Abramu arudi Kanaani (1-4)
Abramu na Loti watengana (5-13)
Mungu arudia ahadi aliyompa Abramu (14-18)
14
15
16
17
Abrahamu atakuwa baba wa mataifa mengi (1-8)
Agano la kutahiri (9-14)
Sarai apewa jina jipya, Sara (15-17)
Aahidiwa kumzaa mwana aitwaye Isaka (18-27)
18
Malaika watatu wamtembelea Abrahamu (1-8)
Sara aahidiwa kuzaa mwana; Sara acheka (9-15)
Abrahamu amsihi Mungu asiangamize Sodoma (16-33)
19
Loti atembelewa na malaika (1-11)
Loti na familia yake waagizwa waondoke (12-22)
Majiji ya Sodoma na Gomora yaharibiwa (23-29)
Loti na mabinti wake (30-38)
20
21
Isaka azaliwa (1-7)
Ishmaeli amdhihaki Isaka (8, 9)
Hagari na Ishmaeli wafukuzwa (10-21)
Agano kati ya Abrahamu na Abimeleki (22-34)
22
23
24
25
26
Isaka na Rebeka wakiwa Gerari (1-11)
Wagombania visima (12-25)
Agano kati ya Isaka na Abimeleki (26-33)
Wake wawili Wahiti wa Esau (34, 35)
27
Yakobo abarikiwa na Isaka (1-29)
Esau atafuta baraka lakini akosa kutubu (30-40)
Esau amchukia sana Yakobo (41-46)
28
29
Yakobo akutana na Raheli (1-14)
Yakobo ampenda Raheli (15-20)
Yakobo amwoa Lea na pia Raheli (21-29)
Wana wanne wa Yakobo waliozaliwa na Lea: Rubeni, Simeoni, Lawi, na Yuda (30-35)
30
Bilha amzaa Dani na Naftali (1-8)
Zilpa amzaa Gadi na Asheri (9-13)
Lea amzaa Isakari na Zabuloni (14-21)
Raheli amzaa Yosefu (22-24)
Mifugo ya Yakobo yaongezeka (25-43)
31
Yakobo aenda kwa siri Kanaani (1-18)
Labani amfikia Yakobo (19-35)
Agano kati ya Yakobo na Labani (36-55)
32
Malaika wakutana na Yakobo (1, 2)
Yakobo ajitayarisha kukutana na Esau (3-23)
Yakobo apigana mweleka na malaika (24-32)
33
34
35
Yakobo aondoa miungu ya kigeni (1-4)
Yakobo arudi Betheli (5-15)
Benjamini azaliwa; Raheli afa (16-20)
Wana 12 wa Israeli (21-26)
Kifo cha Isaka (27-29)
36
37
38
39
Yosefu katika nyumba ya Potifa (1-6)
Yosefu ampinga mke wa Potifa aliyekuwa akimshawishi (7-20)
Yosefu akiwa gerezani (21-23)
40
41
Yosefu aeleza maana ya ndoto za Farao (1-36)
Yosefu akwezwa na Farao (37-46a)
Yosefu awekwa kuwa msimamizi wa chakula (46b-57)
42
Ndugu za Yosefu waenda Misri (1-4)
Yosefu akutana na ndugu zake na kuwajaribu (5-25)
Ndugu zake warudi nyumbani kwa Yakobo (26-38)
43
Ndugu za Yosefu warudi Misri mara ya pili wakiwa na Benjamini (1-14)
Yosefu akutana tena na ndugu zake (15-23)
Yosefu ala na kunywa na ndugu zake (24-34)
44
45
46
Yakobo na familia yake wahamia Misri (1-7)
Majina ya waliohamia Misri (8-27)
Yosefu na Yakobo wakutana Gosheni (28-34)
47
Yakobo akutana na Farao (1-12)
Usimamizi wenye hekima wa Yosefu (13-26)
Israeli aishi Gosheni (27-31)
48
49
50
Yosefu amzika Yakobo Kanaani (1-14)
Yosefu awahakikishia ndugu zake kwamba amewasamehe (15-21)
Siku za mwisho za Yosefu na kifo chake (22-26)