Ufunuo 11:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Na watu wa jamii na makabila na lugha na mataifa watazitazama maiti zao kwa siku tatu na nusu,+ wala hawataruhusu maiti zao zilazwe kaburini. Ufunuo 11:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Na wale kati ya vikundi vya watu na makabila na lugha na mataifa+ watazitazama maiti zao kwa siku tatu na nusu,+ wala hawaziachi maiti zao zilazwe kaburini. Ufunuo Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 11:9 re 167-169 Ufunuo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 11:9 Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha,12/2019, uku. 3 Mnara wa Mlinzi,11/15/2014, kur. 29-30 Upeo wa Ufunuo, kur. 167-169
9 Na watu wa jamii na makabila na lugha na mataifa watazitazama maiti zao kwa siku tatu na nusu,+ wala hawataruhusu maiti zao zilazwe kaburini.
9 Na wale kati ya vikundi vya watu na makabila na lugha na mataifa+ watazitazama maiti zao kwa siku tatu na nusu,+ wala hawaziachi maiti zao zilazwe kaburini.
11:9 Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha,12/2019, uku. 3 Mnara wa Mlinzi,11/15/2014, kur. 29-30 Upeo wa Ufunuo, kur. 167-169