-
1 Samweli 14:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Kisha Sauli akasema: “Nendeni kotekote miongoni mwa watu mkawaambie, ‘Ni lazima kila mmoja wenu aje na ng’ombe dume wake na kondoo wake mwachinjie hapa na kuwala. Msimtendee Yehova dhambi kwa kula nyama pamoja na damu.’”+ Basi kila mmoja wao akaja na ng’ombe dume wake usiku huo na kumchinjia mahali hapo.
-