-
1 Samweli 14:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Kisha Sauli akasema: “Tawanyikeni kati ya watu, nanyi mkawaambie, ‘Kila mmoja wenu alete karibu nami ng’ombe wake na kila mmoja kondoo wake, mchinje na mle mahali hapa, wala msimtendee dhambi Yehova kwa kula pamoja na damu.’”+ Basi watu wote wakaleta karibu kila mmoja ng’ombe aliyekuwa mkononi mwake usiku huo, wakawachinjia mahali hapo.
-