-
Danieli 12:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Na wengi kati ya wale wanaolala usingizi katika mavumbi ya dunia wataamka, baadhi yao watapata uzima wa milele na wengine watapata shutuma na chuki ya milele.
-