-
Mathayo 19:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 Na kila mtu ambaye ameziacha nyumba au kuacha akina ndugu au akina dada au baba au mama au watoto au mashamba kwa ajili ya jina langu atapokea mara nyingi zaidi naye atarithi uhai udumuo milele.
-