-
Mathayo 24:32Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
32 “Basi jifunzeni jambo hili kutokana na mtini kama kielezi: Mara tu tawi lao changa likuapo kuwa jororo na kutoa majani, mwajua kwamba kiangazi kiko karibu.
-