-
Mathayo 26:64Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
64 Yesu akamwambia: “Wewe mwenyewe umesema hilo. Lakini nawaambia nyinyi watu, Tangu sasa mtaona Mwana wa binadamu ameketi kwenye mkono wa kuume wa nguvu na akija juu ya mawingu ya mbinguni.”
-