-
Ufunuo 19:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Baada ya mambo haya nikasikia kilichokuwa kama sauti kubwa ya umati mkubwa mbinguni. Walisema: “Sifuni Yah, nyinyi watu! Wokovu na utukufu na nguvu ni za Mungu wetu,
-