-
Waamuzi 9:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Na itatukia kwamba wakati wa asubuhi mara jua linapowaka mwamke mapema, nanyi mfanye mashambulizi ya ghafula juu ya jiji; na yeye na wale watu walio pamoja naye watakapotoka nje kupigana na wewe, umtendee kadiri ya uwezo wa mkono wako.”
-