-
Luka 9:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Kwa maana yeyote yule atakaye kuokoa nafsi yake ataipoteza; lakini yeyote yule aipotezaye nafsi yake kwa ajili yangu ndiye atakayeiokoa.
-