-
Matendo 18:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Hata hivyo, baada ya kukaa siku kadhaa zaidi, Paulo aliwaambia akina ndugu kwaheri naye akaendelea kusafiri kwa mashua kwenda Siria, na pamoja naye Prisila na Akila, kwa kuwa alikuwa amekatwa nywele za kichwa chake kuwa fupi katika Kenkrea, kwa maana alikuwa na nadhiri.
-