-
2 Wakorintho 12:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Tazameni! Hii ndiyo mara ya tatu niliyo tayari kuja kwenu, na bado sitakuwa mzigo wenye kulemea. Kwa maana ninatafuta sana, si mali zenu, bali nyinyi; kwa maana watoto hawapaswi kuweka akiba kwa ajili ya wazazi wao, bali wazazi kwa ajili ya watoto wao.
-