-
Wagalatia 2:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Mimi natundikwa mtini pamoja na Kristo. Si mimi tena niishiye, bali ni Kristo aishiye katika muungano nami. Kwa kweli, uhai niishio sasa katika mwili naishi kwa imani iliyo kuelekea Mwana wa Mungu, aliyenipenda mimi na akajikabidhi mwenyewe kwa ajili yangu.
-