-
Yakobo 1:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Lakini yeye achunguaye ndani ya sheria kamilifu iliyo ya uhuru na ambaye hudumu katika hiyo, mtu huyu, kwa sababu amekuwa, si msikiaji msahaulifu, bali mtekelezaji wa kazi, atakuwa mwenye furaha katika kutenda hiyo.
-