-
Ufunuo 15:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Nami nikaona kilichoonekana kuwa bahari iliyo kama kioo iliyochangamana na moto, na wale watokeao wakiwa washindi kutoka kwa hayawani-mwitu na kutoka kwa sanamu yake na kutoka kwa nambari ya jina lake wakiwa wamesimama kando ya bahari iliyo kama kioo, wakiwa na vinubi vya Mungu.
-