-
Ufunuo 15:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 na malaika saba wenye tauni saba wakaibuka kutoka katika patakatifu, wamevishwa kitani safi, nyangavu na wamefungwa mishipi ya dhahabu kuzunguka vifua vyao.
-