-
Luka 6:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Baadaye siku ya sabato nyingine akaingia katika sinagogi akaanza kufundisha. Na kulikuwa na mtu mmoja ambaye mkono wake wa kuume ulikuwa umenyauka.
-