-
Waroma 10:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Kwa maana ukitangaza hadharani lile ‘neno katika kinywa chako mwenyewe,’ kwamba Yesu ni Bwana, na kudhihirisha imani moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokolewa.
-