-
Marko 6:45Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
45 Na, bila kukawia, akawashurutisha wanafunzi wake kuipanda mashua na kuendelea mbele hadi ukingo wa pili kuelekea Bethsaida, huku yeye mwenyewe akiuruhusu umati uende.
-